Jumanne, 3 Februari 2015

IBADA YA JUMAPILI KWA UFUPI TU!!!!!!!!!!!!!!!!!!

By: Senior Pastor JOSEPHINE KASONGWA





Mchungaji kiongozi akihubiri, Ibada ilikuwa ya aina yake hapo ni kwa ufupi sana unakaribishwa kwenye vipindi vingine ukutane na MUNGU live....................

KIUKWELI Mungu yupo na anaudumia watu kwa viwango vyaajabu sana libarikiwe jina lake milele!!!!!!!!!!


SOMO LA SUNDAY SCHOOL LILIKUWA NI UMUHIMU WA ROHO MT. KWA MWAMINI!
Somo By: Eng. James C. Millinga
introduction
Roho Mt. - ni Mungu anayekaa tenda kazi na sisi sasa na amechagua kukaa ndani yetu.

sifa za Roho mt.
1. Anapatikana mahali pote(Zab 139:7-8)
2. Ni waumilele(mwa 1:2, ufunuo 1:8)
3. Anajua maarifa/mambo yote.(1kor 2:10-11)
4. Ni Mtakatifu(rum 12:1, 1kor 3:16)

kazi za Roho Mt,
1. kutufundisha kila jambo.(yoh 14:26,isaya 54:13)
2.Kutuongoza(yoh 16:13, rum 8:14)
3.Mfunuaji wa mafumbo(1 kor 2:10)
4.mpashaji wa habari za mambo yajayo (yoh 16:13)
5. Mtetezi wetu (marko 13 :11)
6. Hututia nguvu (matendo 1:8)
7. Huhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi (ebrania 8:10-12, yoh 16:8, rum 8:16)


Umuhimu wa Roho Mt.
1. anatupa uwezo juu ya Hekima, maarifa, Ujuzi na mambo ya Kazi ya kila aina (daniel 6:3, kutoka31:2-7)
2. utupa ujasiri katka Huduma nakatika mipango tunayokuwa tunafanya ( Mdo 2:14, mdo 4: 31, 2thim 1:7)

itaendelea wiki ijayo...........................................!!!!!!!!!!!

Produced by: JAMES C. MILLINGA COPY RIGHT (C) 3rd.Feb.2015 All rights reserved!!!!!!!
%**THE YEAR OF GRACE TO GRACE!!**%