Jumapili, 25 Januari 2015

KARIBU KATIKA KANISA LA BUTIMBA HEALING CENTRE!!!!!
RATIBA ZA IBADA ZETU NI KAMA IFUATAVYO
  • Jumatatu wanakutana vijana ( 04:00 pm - 06:00 pm)
  • jumanne wanakutana wamama ( 04:00 pm - 06:00 pm)
  • Jumatano ni Ibada ya mafundisho ya NENO la Mungu tunakutana kanisa zima!!!! ( 04:00 pm - 06:00 pm)
  • alhamic ni mazoezi ya kwaya ( 04:00 pm - 06:00 pm)
  • Ijumaa ni ibada ya Maombi ya KUFUNGA masaa 12 watu wote tunakutana kanisani. ( 04:00 pm - 06:00 pm)
  •  jumamoc mazoezi ya uwimbaji na usafi wa kanisa!!!!
JUMAPILI IBADA KUU
  •  (08:00am - 09:00am)-MAOMBI
  • (09:00am - 10:00am)- SUNDAY SCHOOL
  • (10:00am - 01:30am)- IBADA KUU
    VIJANA WA C.A.G-BHC na mwenyekiti wao!!